Jamani tuwe tunakumbuka kubadilisha status...

02:07:00 Unknown 0 Comments


Kuna jamaa aliweka picha ya kipikipiki chake kama whatsapp dp halaf status akaandika "kabaya kamezeeka lakini kananifanya nizunguke mjini" . Sasa hivi akaweka picha ya mke wake lakini kasahau kubadilisha status.

You Might Also Like

0 comments: