Shida ya michepuko ya kibongo hata ujifiche au kujitetea vipi ukidakwa na njia kuu lazima uumbuke.... sijui kwa nini ??????

19:44:00 Unknown 0 Comments

Kuna wanandoa wawili walikua na tabia ya kudanganyana ktk ndoa yao..

siku moja mke alilala nje na aliporudi asubuhi,mumewe akamuuliza alipolala,ye akamwambia alilala kwa rafiki yake wa kike,mumewe akaamua kuwapigia marafik zake 10 kuwauliza kama mkewe alilala kwao.

Lakini marafiki wote walikataa kwamba hakulala kwao na siku chache baadae  mumewe nae akalala nje aliporudi asubuhi akamwambia mkewe kuwa amelala kwa rafiki yake,mkewe nae akaamua kuwapigia marafiki 10 wa mumewe kuwauliza kama mumewe alilala kwao.

Cha ajabu marafki zake 8 walikubali kuwa jamaa alilala kwao na 2 walisema alilala kwao na hadi wakati huo alikua bado yuko huko kwao.

You Might Also Like

0 comments: