Hivi inakuwaje mwanamke anasema anakupenda alafu anakupa......................................
Hivi inakuwaje mwanamke anasema anakupenda alafu anakupa; Singlendi akitegemea umpe Samsung galaxy, Tai akitegemea Wigi la kibrazil, Vifungo vya shati akitegemea I PAD, Key holder akitegemea kokoko anakuja mikono mitupu akitegemea umpeleke Mlimani city kula kuku. Alafu mnaongelea usawa sasa chama cha maboyfriend Tanzania (TBA -Tanzania Boyfriends Association) tumeamua... Singlendi kwa Sidilia, Boxer kwa bikin,, ukileta maua unapewa majani ya mwembe (kwanza vyote ni mazao ya mimea). Tai kwa kamba kwa ajili ya kufungia vinywele vyake vya asili. Akija mikono mitupu then mnakaa mezani kupiga story (kula kwao)
0 comments: