Hey ladies hii ni majibu ya kuwajibu wanaume wanaosumbua inbox.ukiwajibu hawakusumbui tena.

17:56:00 Unknown 0 Comments


Swali:Mrembo unafanya nini?jibu:natafuta pete ya ndoa sijui nimepoteza wapiSwali:tunaweza kuonana?jibu:nina mimba ya miezi 8 siwezi kukutana kwa hii hali.swali:naweza kujua zaidi kuhusu wewe?jibu:ofcourse,napenda hela nitumie laki 5Swali:Una boyfriend?jibu:ninaye na tena watoto wawili halafu ni mwanajeshi

You Might Also Like

0 comments: