UKIMPATA MPENZI KAMA HUYU UTAISHI MAISHA YA RAHA SANA AISEE

08:59:00 Unknown 0 Comments


1. Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2. Unajiandaa kwenda kazini unakuta, nguo zishapigwa pasi
3. Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu raha sanaaa!
4. Umejipunzisha kwenye kochi au Au kitandani mara kakukalia Mgongoni anakufanyia mesaj Mgongoni, unaishia kusema "thanks baby".
5. Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia.
6. Anapenda ndugu zako.
7. Anakupa moyo kwenye wakati mgumu (anakwambia baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa tu)
8. Anajua unataka nn na kwa wakati gani.
9. Hana tabia ya uchoyo na umbea

You Might Also Like

0 comments: