Punguza kilo 5 kwa wiki

10:58:00 Unknown 0 Comments




Jamaa mmoja bonge aliona tangazo limeandikwa : "Punguza kilo 5 kwa wiki"

Akawapigia simu na kuomba kujiunga

Binti:Sawa uwe tayari hapa ofisini kwetu kesho saa 12 za Asubuhi
Siku ya pili akenda na alipofika akapelekwa kwenye chumba Fulani hivi. Alivyokifungua akakutana na binti mmoja mzuri kavaa raba, pichu na Tshirt, Binti akasema ukinikamata tuuu utalala na mimi na binti akaanza kukimbia. 

Bonge alimkimbiza yule binti bila mafanikio na kila siku kazi ikawa hiyo, Yule Bonge akapunguza kilo 5 ile wiki. 

Bonge akaoomba apewe programu ya kupunguza kilo 10.
siku ya pili asubuhi saa 12 alipofungua mlango akaona bebe ya ukweli ikiwa imevaa bikini 
Binti kasema ukinishika tuu nakupa mambo mazuri jamaa na tamaa zake akamkimbiza yule bebe na mate yanamtoka kila siku kwa wiki ile mida ilele lakini hakumshika yule mrembo na akapunguza kilo 10 ndani ya wiki.

Jamaa akanogewa na kuomba programu ya kupunguza kilo 25 

Binti akamwambia unauhakika unaitaka hiyo? Ni programu ngumu sana hii! 
Jamaa akajibu kwani wanionaje?siwenzi shindwa mimi

Siku ya pili yake saa kumi na mbili asubuhi akaenda kufungua chumba kile akitegemea kukutana na bebe ya ukweli ikiwa tupu, ile kufungua tuu akakutana na jamaa moja la miraba minne na inaonyesha kama chizi vile na kumwambia “ nikikushika tu nakupa mambo”"

Yule bonge ndani ya ile wiki alipunguza kilo 40

Usicheze na kameruni wewe kabisa

You Might Also Like

0 comments: