"SHIT!"
50 cent, Birdman & Fuledi walipata ajali ya ndege na kujikuta wako katika bonde la maajabu wasilo lijua. Wakaona kuna kibao mlimani kimeandikwa:"Kimbia katika kilele cha mlima na kwa sauti kubwa omba utakalo na litatokea"
50 cent akawa wakwanza kupanda na alipofika akaomba "HUMMER" ikaja akaendesha na kuondoka
Birdman naye akaomba " DOLLARS!" na likaja fukokubwa la hela akachukua na kuondoka
ikaja zamu ya Fuledi, akawa amechanganyikiwa aombe gari,helaau mwanamke mzuri.." alipofika kileleni kwa bahati mbaya akajikwaa na na kwasauti akasema "SHIT!"
Basi akashukiwa na fuko lenye kinyesi

0 comments: