kama wewe ndo huyo jamaa ungefanya nini?

20:27:00 Unknown 0 Comments


jamaa mmoja alikwenda kwenye nyumba moja kuomba maji ya kunywa.ajabu akaletewa maziwa.akanywa akaomba mengine akapewa tena maziwa duu jamaa ikabidi amuulize dogo anaemletea maji

jamaa:mbona nyumba hii nikiomba maji mnanipa maziwa?
dogo:hamna maziwa ya leo yameingia panya kila mtu kayakataa
jamaa akashtuka kidogo basi glass ikadondoka ikavunjika
dogo akapiga kelele:mamaaa ile glass ya bibi yakutemea makohozi imevunjika!!!!
kama wewe ndo huyo jamaa ungefanya nini?

You Might Also Like

0 comments: