Mama hivi binadamu walitoka wapi?

19:58:00 Unknown 0 Comments





Mtoto: Mama hivi binadamu

walitoka wapi?
Mama: Mungu alimuumba
Adam na Hawa wakazaa
watoto wakaujaza
ulimwengu. Baba aliporudi zake toka
kwenye kilevi.
Mtoto: Baba hivi binadamu
walitoka wapi?
Baba: Binadamu wametokana
na nyani, miaka ikapita wakawa binadamu. Mtoto akarudi kwa mama
yake.
Mtoto: Mama we ulisema
binadamu wameumbwa na
Mungu, baba kasema
binadamu wametokana na nyani inakuwaje?
Mama: Kila mtu kaongelea
chanzo cha ukoo wake ndio
maana nyingine hiyo.

You Might Also Like

0 comments: