Mahubiri Yakiendelea
Pastor:Ningekuwa na uwezo ningechukua Guiness zote na kuzimwaga mtoni!!
Waumini:Ameen!
Pastor:Ningechukua Safari Lager zote na kuzimwaga mtoni!!
Waumini: Ameen!
Pastor:Ningechukua Konyagi zote na kuzimwaga mtoni!!
Waumini: Ameen!
Pastor:Ningechukua Banana zote na kuzimwaga mtoni!!
Waumini: Ameen!
Pastor:Ningechukua Whisky na Vodka na kuzimwaga mtoni!!
Waumini: Ameen!
Pastor baada ya kumaliza mahubiri,kiongozi wa kwaya akasimama na kuwaambia waumini "Fungueni vitabu vyenu
na tuimbe wimbo namba 152 usemao "NASI TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUO" Waumini: HALELUUYAAAA....!!!!!!!!!!!
0 comments: