Mmmmmh Huyu anayedai kuwa baba wa Dilish wa BBA ni kweli?
Wiki moja iliyopita show maarufu ya luninga barani Afica iendayo kwa jina Big Brother Africa (BBA) ilitoa zawadi kwa Dillish Matthews kuwa mshindi wa BBA- The Chase.
Wiki hiyo hiyo Dillish akihojiwa na mwanahabari mashuhuri katika kituo kimoja cha luninga nchini Namibia, Dalish alidai kuwa alikuwa akimtafuta baba yake halisi wa kibaiolojia kwani alikuwa akisimuliwa mambo mengi na mama yake juu ya baba huyo amabaye hajawahi kumwona.
Na hivi sasa, Kijana mmoja kutoka Kenya amedai kuwa yeye ni baba wa Dillish na kusema alimpatia mama yake Dalish mimba akwa kama askari wa kikosi cha amani cha umoja wa mataifa nchini Namibia.
Mama dalish alisema alipoteza mawasiliano na baba huyo baada ya kutojibu barua kwa muda mrefu.
Chakushangaza ni kwamba baba anaonekana kijana sana na pengine lengo ni kujipatia fedha za dada huyo.
Angalia katika picha
0 comments: