"U SAVED ME"
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station"naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na karatasi yenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu"
Mtangazaji akasema: ahsante, kwa hiyo ungependa kumrudishia mwenyewe kama ana kusikiliza
Juma: Hapana, ninapenda kumuombea dedication wimbo wa "R. Kelly "U SAVED ME" umfikie popote pale alipo!.
0 comments: