AINA ZA HUSBAND

03:01:00 Unknown 0 Comments




1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na
marafiki na kushinda nje ya nyumba yake
2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata
jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele
3. Slave Husband - Huyu anataka umnyenyekee kama
mfalme yaana ni kama Mungu mtu
4. General Husband - Huyu ni kiwembe aka ana wanawake
wengi kupita maelezo
5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya
matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje
6. Asprin Husband - Huyu anataka shida zake zote mkewe
ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo
7. Parasite Husband - Huyu ni tegemezi aka Marioo
8. Baby Husband - Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi
wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa
mkewe
9. Visiting Husband - Huyu hataki kujua familia
imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa
hata siku tatu
10. Caring Husband - Huyu ni mwenye kujali familia na
kuitunza kwa kila jambo

You Might Also Like

0 comments: