Angalia madhara ya kutumia majina fake fesibuku

15:07:00 Unknown 0 Comments

Familia nzima huku uswahilini iko ndani ya facebook wanatumia majina fake baba anajiita 'Papaa Jay Cmb' Mama nae anajiita
'Sweetbaby yule Mswit' Mtoto wa kiume anajiita 'Young Ramos Swaggerboy' Mtoto wa kike anajiita 'Habibty Princessa' Na hawajuani kama ni familia moja, utata ulianza pale mama (sweetbaby) alipo update status.

Status >Jamani naskia baridi....na imagine niko 'single'....walahi nateseka nani atanisaidia???

<Mtu mzimaa 'Papaa Jay Cmb' aka comment >Come'on baby unateseka nini wakati mimi nimeumbwa kwa ajili ya watu kama nyinyi...ebu twende inbox nikutoe baridi.

<Mtoto(Young ramos) aka like comment ya baba (Papaa Jay)
kisha hapo hapo akacomment
''Ha ha ha ha ha ha inbox akafanye nini wakati mimi
nipo hapa naweza kumtoa baridi hapa hapa....acha hizo ama una muogopa miminikuoneshe

<Mama(sweetbaby) aka like comment kisha aka comment> enhe..hapo chacha,mwambie.lol

<Mtoto(Young Ramos) aka comment >Sweetbaby darling huyo Papaa anakudanganya nini huko inbox?

<Mama(sweetbaby) nae aka comment >Namshangaa sijui yukoje,inbox ya nini wakati mimi baridi imenishika hapa! Njoo
swaggerboy wangu unitoe baridi....mi nataka waume kama wewe,tupatane inbox < {hajui kuwa ni mwanawe}

Baba kuona kakataliwa akacomment>Nimebaki nalia na moyo kama lady jay dee

<Mama(Sweetbaby)aka like iyo comment,kisha nae aka comment >Hahaha nyooo...utajiju mwaka huu.pumbavu!!

<Binti(Habibty princessa) alipo log in aka comment >Duh! Jamani mbona kumtesa Cmb hivyo? Papaa Jay inbox pia mi nataka
kutolewa baridi

<Papaa Jay,Young Ramos na
Sweetbaby wote wakalike iyo comment.
.
.
.
.
Mama kajishindia mtoto na baba akajishindia binti na hawajui. (huko inbox cjui kuliendaje.lol

You Might Also Like

0 comments: