Benzi limetoka sasa ivi ila limebaki Vorkswagon tu nikuitie?

22:28:00 Unknown 0 Comments

Jamaa alikuwa safarini Kikazi akafika guest siku hiyo alijiona mnyonge akaamua kumuuliza Mhudumu mmoja wa kiume kuwa anashida na demu.

Mhudumu: Mademu wapo ila sisi tunawatambua kwa Majina ya magari

Jamaa: Sasa niitie benzi

Mhudumu: Benzi limetoka sasa ivi ila limebaki Vorkswagon tu nikuitie?

Jamaa: Niitie tu nipo chumba NO13 

BAADA YA MUDA JAMAA AKAGONGEWA MLANGO NA AKAINGIA MWANAUME SHOGA 

Jamaa akamaind sana akamfata mhudumu na kumuliza, "kwanini umeniletea shoga?"

Mhudumu akamwambia, "iyo ndo Vorkswagon coz injini yake ipo nyuma boss"

You Might Also Like

0 comments: