BREAKING NEWS: Al Shabaab waogopa kuingia Mlimani City...

15:39:00 Unknown 0 Comments

Baada ya wiki 2 za Msako mkali na kusababisha Foleni zisizo na maana pale Mall,Mnasachiwa silaha na mabomu kwa kimashine cha Plastiki kama cha Maisha Club,Msako huo umezaa matunda maana Al Shabaab wameogopa kuja na Wiki Hii HATUKAGULIWI TENA....Msako umeisha,kushnehi kabisa...Hata uje na Mapapai unaingia nayo Muvi freshi kabisa...
Huu ni mwendelezo tu wa UNSERIOUSNESS ya Watanzania katika masuala muhimu..

Bonya Hapa kusoma zaidi

You Might Also Like

0 comments: