Habari mpyaaaaaaa....................... wekend yamtokea puani kijana wa digitali

12:00:00 Unknown 0 Comments

Jana ijumaa kuanzia asubuhi nilikuwa nikichati na demu mmoja hapa fesibuku, jioni tukakubaliana tutoke wote out.

Tukapakia pombe za kutosha sana na kwenda hotel moja maeneo ya sinza kijiweni ili demu aweze lipia bia nilizomnunulia.

Sasa leo asubuhi tumegongewa na mhudumu kuwa tuna mgeni nikashangaa kwani hakuna aliyejua tupo pale na mimi sijaoa labda wife awe amekuja kunifumania.

basi kufungua mlango kumbe ni mme wa yule dada kaja na wenzake kama saba wamevimba utadhani wananyanyua tani za uzito.Mie roho ikaanza kupasuka nikijua leo wanaweza nifanya mke mdogo

Cha kushangaza jamaa kamchukua mkewe na kaondoka bila hata ya kunizaba hata kibao kimoja. Nimekimbia toka pale huku nikiwaza nini anataka kunifanyia na najilaumu kwa nini yule binti alinidanganya kuwa hajaolewa.

Yaani hapa sijui kaka mwenye mke anataka kunifanya nini mimi?

You Might Also Like

0 comments: