Huu mchezo wa wanaume kutuchezea na baadae kutubwaga kama sijui nini utaisha lini?

17:15:00 Unknown 0 Comments

Hello Fuledi,

Naomba kuuuliza huu mchezo wa wanaume kutuchezea na baadae kutubwaga kama sijui nini utaisha lini?

Mimi ni binti ambaye nasoma chuo fulani, Sasa kuna mwalimu aliniahidi niwe na uhusiano nae atanioa na pia nitafaulu mtihani wake maana ulikuwa unanishinda shinda sana.

Miezi kadhaa iliyopita kaanza kunichukia na kunikwepa baada ya mie kwenda pale na rafiki yangu na hivi sasa napata fununu kuwa mara wameonana huku mara kule ikimaanisha wanatoka wote.

Mie hasira zikanijaa nikatembea na rafiki yake ili kumkomoa lakini naona anajifanya kichwa ngumu.. 

Naombeni nifanyenje maana mie nataka kumuumiza tu

You Might Also Like

0 comments: