Jamaa azimia baada ya gari aliloliagiza mtandaoni kuwasili

05:33:00 Unknown 2 Comments

Jamaaa mmoja ambaye huwa huchukua maamuzi ya haraka pale anapoagiza vitu kwa njia ya mtandao hivi majuzi kidogo aikimbie duniani baada ya presha kumpanda kwa kazi.

Jamaa wakati analiagiza gari hilo yeye aliliangalia upande mmoja kama linavyoonekana hapa pichani

Lakini kijana wakati anaenda kulipokea gari akashangaa kuliona liko na sura hii hapa chini

NI VIZURI KUWA MAKINI UNAPOAGIZA VITU MTANDAONI KWA KUOMBA KUPATA PICHA ZA GARI ZIMA

You Might Also Like

2 comments:

  1. ahahahhahaa..... pole kwa muagiza gari, si ajabu alishawishiwa na bei ndogo .... ahahah (huyu jamaa si fuledi kweli?)... lol

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ha ha ha ha hebu fikiri maumivu yake na jinsi mtu unavyojipanga kuusubiri mchuma

      Delete