''Kristo alikufa na wezi wawili, so na mimi nafanya vivyo hivyo''

10:32:00 Unknown 2 Comments

Mzee mmoja alipoona ana masaa 24 kabla hajafa pale hospitali. Akaagiza Mhasibu na Mwanasheria wake waje.

Mhasibu akauliza ''hapa nafanya nini?'' mzee akajibu ''nothing, we simama tu hapo hapo.''

Mwanasheria nae akauliza ''hapa nafanya nini?'' mzee akajibu ''nothing, we simama tu hapo hapo.''

Baadae wakauliza tena pale waliposimama mzee akawajibu ''Kristo alikufa na wezi wawili, so na mimi nafanya vivyo hivyo''

You Might Also Like

2 comments:

  1. Illa hiyo ina funzo sababu hakuna anayeingiza pesa halali

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa Tino....Nakubaliana

    ReplyDelete