Nimejifunza yafuatayo katika maisha

08:31:00 Unknown 0 Comments


1.Nilikuja duniani peke yangu na itanilazimu kuondoka peke yangu.

2.Watu wako pamoja nawe pale tu wanapohitaji msaada kutoka kwako na si vinginevyo.

3.Ukimjali sana mtu mwishowe ni wewe kupata lawama na si SHUKRANI.

4.Uongo mdogo sana kutoka kwa mtu wako wa karibu huumiza sana kuliko kitu chochote.

5.Ni vigumu mno kulia peke yako wakati hakuna bega la kuegemea.

6.Toa msaada kwa wengine LAKINI usipite kiwango ukakuumiza

Asubuhi njema

You Might Also Like

0 comments: