Safari ya kwanza na majanga

12:47:00 Unknown 0 Comments

Mtoto wa mbu aliruka na kufanya safari yake kwa
mara ya kwanza.
Aliporejea nyumban baba yake akamuuliza, vipi
matembezi yako umeyaonaje?
Mtoto wa mbu akajibu, ilikuwa safi sana baba kila
nlikopita watu walinipigia makofi!
Babake akasema, walikuwa hawakupigii makofi ila
walikuwa wanataka kukuua!!
Funzo
1. Sio kila akupigiae makofi anakusifu.
2. Sio kila anaye cheka nawe anakuombea mema
Wengi hawapend kukuona unaishi na zaidi
ukifanikiwa

You Might Also Like

0 comments: