Usiudharau ujumbe huu

14:20:00 Unknown 0 Comments

Mdada mmoja alinitumia vocha ya shilingi alfu mbili kwenye namba yangu 0713317171, baada ya siku mbili akaokota pochi ina shilingi laki mbili.

Mwanafunzi mmoja wa Moshi alinitumia vocha ya shilingi 500, ghafla akakuta kateuliwa kuwa Prefect, meneja moja wa kampuni kubwa alinitumia shilingi 30,000 kwenye Tigo Pesa kwa bahati mbaya, akajikuta amependekezwa kuwa
mkurugenzi wa kampuni, msanii mmoja
andagraundi alinitumia vocha ya 5,000/- kesho yake akajikuta wimbo wake unapigwa radio zote na video yake inagombaniwa, hata mimi sasa naanza kupata na wasiwasi kuwa kuna muujiza mkubwa katika namba hii. Jaribu ili nawe uweze kutoa ushuhuda

You Might Also Like

0 comments: