Eti ni kweli wenye majina haya wanatabia hizo?

15:52:00 Unknown 0 Comments



0. JACQ => Huwa ni Mapepe hawajatulia...

1. PATRICIA => wote ni wapole but hupewa mimba ovyo ovyo...

2. DAMARI => wote huwa waZuri.

3. SARAH =>huwa na wanaume wengi....

4. MWAJUMA=>huwa wajuaji mbaya

5. JOYCE=> ni mafala kiasi.

6. ESTER=> hupenda Pesaa sana jiandaee watachop hizo pesa zako.

7. HELLEN=> wote ni ma player.

8. ANNE=> ni ma-drama queen.

9. Everlyne=> ni wanakuwaga wa cheshi

10. MAGRET=> ni wa-caring..sana wako lovely

11.VIOLA=>wanapenda sex hoo...

12.EDITH=>huwanga ni watu waaminifu.

14.NORAH=>wanaku wanga expensive.

15. SUSAN=>very romantic

16.Elizabeth=>co nservatives

17.Liz=>wanajua kungara poa sana.

18.ANGELINA=>Ni ngumu sana kuwapata hawa.

19.Rose=>hawa ni wachapa Kazii.

20.CARO=> Hawa huwa na mahasira tupu..

21.July/ janet=>wanapenda doa sanaaa...unalo

22.Sheryl=>huwa malazi hawaa jiangalie

23.Stacy=>huwa wanyanganyaji mabwana za watu...

24.Frida=>huwa wapishi wazuri sana...

25.Immaculate/ ivy=>huwa very economical hawa utawamudu..

26. MARIUM => Hao ni omba Upewe Ndugu...

27.REHEMA=>________

28.MWANAIDI=>________

29.FLORA => _______

You Might Also Like

0 comments: