TANGAZO TANGAZO

14:52:00 Unknown 0 Comments



Yeyote mwenye watoto 10 atazawadiwa mil 50;
Jamaa aliposikia tangazo akamwambia mkewe, sisi tuna watoto 9. Nikwambie mke wangu, mi nina mtoto 1 nje ya ndoa, tumchukue huyo, wawe 10 tupate ml 50. Mkewe akasema poa. Jamaa akamfuata huyo mtoto. Aliporudi hakuwaona wale 9. Akamuuliza mkewe, Watoto wako wapi? akajibu, baba zao walipoona tangazo nao wamekuja kuwachukua watoto wao, Jamaa akazimia.....!!,...

You Might Also Like

0 comments: