Jinsi wazazi wanavyopanic kusikia binti ana mchumba

04:01:00 Unknown 0 Comments

(MTOTO WA KIUME)
>Baba ,nimepata girlfriend mzuuri
sana. (BABA)> Hongera kidume
wangu,huo ndo
uanaume!.. ....... ....... ...... ....... ....... ...... .....
(MTOTO WA KIKE)> Baba
nimepata boyfriend,ni handsome
kweli! . (BABA ){huku akijaza risasi
kwenye bunduki}>Naomba
unitajie jina lake na mtaa anao
ishi!

You Might Also Like

0 comments: