Mlugaluga alipowapigia makumbusho ya taifa
JAMAA;haloo hapo ni makumbusho ya taifa??
OFISI:ndio tukusaidie nini??
JAMAA;ok naomba mnikumbushe mwaka juzi saa
yangu niliipotezea wapi?
OFISI;pumbavu sana hiyo sio kazi yetu
JAMAA;sasa makumbusho mnakumbusha nini??
OFISI;tunahifadhi mambo ya zamani
JAMAA; ahaa kumbe saa yangu mtakua nayo
basi ntaipitia hapo.

0 comments: