Maajabu haya.... Familia yatembelewa na malaika bila kujua
Malaika aliitembelea familia moja masikini sana na baada ya kupokelewa vizuri siku ya kuondoka akawaita na kuwaambia kuwa anawapa zawadi ya kuomba mambo matatu na watapewa kisha akaondoka.Baada ya kuondoka huku nyuma baba ya mama wale wakakaa na kujadili tuombe nini? Lakini wakati huo mzee alikuwa kashajitundika na maji ya dhahabu. basi maombi yakawa kama yafuatavyo:
Mme: Naomba wali na pilau uje hapa mezani ( kweli vikaja)
Mke: kwa hasira akasema mme wangu unaomba ujinga gani si ungeomba vitu vya kimaendeleo? Natamani kichwa chako kiwe kama cha kuku ( kweli kichwa kikawa kama cha kuku)
Sasa wamebakiza ombi moja, wewe unadhani ungeomba nini hapo na hali ishakuwa soo?
0 comments: