maisha ukiyajengea majibu chanya utakuwa na furaha siku zote.
KWA MFANO,
1.ukipimgia simu mpenzi wako asipopokea,JIPE JIBU KUWA AMESINZIA HATA KAMA NI SAA NNE ASUBUHI.
2.akikuta missed calls zako na akaacha kukutafuta,JIPE JIBU KUWA HANA SALIO.
3.ukipiga simu ukakuta anaongea na mtu yaani simu yake inatumika hata kama ni saa sita usiku,JIPE JIBU KUWA ANAONGEA NA MZAZI WAKE.
4.ukipiga tena akawa hapatikani,JIPE JIBU KUWA SIMU YAKE IMEISHA CHAJI.
0 comments: