Soma kama jina lako lipo kwenye msamaha huu
Kama ilivyokawaida wakati wa hafla muhimu za kitaifa rais hutoa msamaha kwa wafungwa mbalimbali wenye makosa mbalimbali na ambao wanatumikia vifungo vyao gerezani.
Nami leo katika kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa nitatoa msamaha kwa makundi yafuatayo.
1. Kama wewe ulinikosea basi nimekusamehe bure
2. Kama nilikukose au kukukwaza naomba unisamehe bure
3. kama wewe ni rafiki yangu na bado huwa hulike au comment post zangu nakusamehe bure
4. Kama uliomba urafiki na bado sikakuasepti nisamehe na nitakuasepti sasa
5. Kwa walionisatili nao nawapa msamaha wa bure
Ambao hawatasamehewa
1. Kama bado hujalike page ya Tabasamu na Fuledi na GREEN team photogenic wewe hutasamehewa na unakesi ya madai ya kujibu
2. kama bado wewe una copy na kupaste kila kitu hapa fb bila kuonyesha mmiliki halali wa kazi hizo wewe hutasamehewa.
0 comments: