Salon mpya na Boutisue mpya na ya kisasa kwa kina dada na watoto.....
Jamani kina dada mliopo sinza na mengine maeneo yote ya dar... naomba mtembelee salon hii na kupata huduma bora.
KUMBUKA...Kila mteja mmoja anayeingia hapo ananisaidia na mimi kupata ada ya mwanangu ya shule
Like page ya salon S & K Salon
0 comments: