HAWA NDIO BINADAMU WA SASA.

22:32:00 Unknown 0 Comments


1.wakikukwepa usijali jua kuna siku watakutafuta
2.wakikusengenya nyamaza wenda watajifunza kupitia ukimya wako.
3.wakikununia omba mungu jua kuna siku watakuchekea.
4.wakikupongeza usiwaamini sana wenda wakawa wanakutania.
5.wakikutenga achana nao jua wao sio kila kitu katika hii dunia.
6.wakikudhulumu shukuru mungu ipo siku atakulipa.
7.wakikualika kuwa makini wenda kuna kitu wanakutegea.
8.wasipokupenda usijisumbue kujipendekeza
JUA MUNGU NDIO RAFIKI WA KWELI KATIKA DUNIA NA SI BINADAMU.

You Might Also Like

0 comments: