Ukweli kuhusu maisha yako ya sasa ….. kama unabisha soma
Siku nzuri kuliko siku zote: Ni siku uliyonayo sasa
Kitu au jambo unaloliona rahisi mbele yako, mara nyingi huwa jambo gumu hivyo tuliza kichwa.
Kikwazo kikubwa na namba moja katika Maisha ni kuwa na hofu
Jambo ambalo huwa na majuto baadae kukata tamaa
Mzizi wa mambo yote mabaya ni kuwa mbinafsi
Kitu kizuri na chenye thamani zaidi duniani ni kufanya kazi kwa bidii na kuwa mbunifu
Waalimu wazuri duniani ni watoto
Kitu cha msingi katika kila jambo ni mawasiliano
Kitu kiletacho furaha ni kukubalika na wenzako na kuwa msaada kwao pia
Kitu kinachoogopeka zaidi ni Kifo
Jambo la kuliepuka ni kuwa na Hasira
Ogopa sana sana kuwa muongo
Zawadi nzuri ya kuwapa wenzako ni kuwa mtu wa kusamehe na kusahau
Sehemu ambayo ni vizuri kuipenda ni Nyumbani kwako
Silaha muhimu katika maisha ni kuwa na Tabasamu
Siku zote kuwa mtu wa kuamini mafanikio
Jambo la kuburudisha ni kuona umemaliza kazi kwa ufanisi
Jambo la kujivunia ni pale unapokuwa na imani
Wazazi ndio viumbe wa muhimu hapa duniani
Jambo la kuheshimiwa ni kuona wawili wakipendana
Jambo la kuridhisha ni kuona wewe ni fan wa Tabadamu na Fuledi
0 comments: