uongo uliozoeleka kwenye jamii yetu.

05:22:00 Unknown 0 Comments



1. Niko kwenye siku zangu!
2. Ntakua hapo ndani ya dakika 5..
3. Nilikua nimelala uliponitumia message..
4. sina namba yako kwasababu nilipoteza simu yangu!
5. Sina demu.
6. Sijalewa..
7. Ni rafiki tu..
8. Ntasubiri hadi ntakapooa.
9. Mi bado bikra!
10. Its a long story
11. Hapa fesibuku wananifuata wengi ilamimi ni wewe tu

You Might Also Like

0 comments: