DALILI ZA MTU MUONGO MUONGO

02:13:00 Unknown 0 Comments


1.Ukiona mtu anasema yupo veta anasomea biashara ujue kuna kitu


2.Ukiona mtu Kaandika yupo canada alafu ukikatika umeme mbagala anawatukana tanesco ujue kuna kitu


3.Ukiona mzee anasema enzi zangu shule nilikuwaga wa kwanza ujue kuna kitu


4.Ukiona mtu anasema wazungu wote matajiri ujue kuna kitu


5.Ukiona mtu anasema bakhresa alikuwaga shoe shine ujue kuna kitu


6.Ukiona msichana mwenye miaka zaidi ya 15 anaishi uswahilini alafu anasema mm bikra ujue kuna k2


7.Ukiona mtu mwanaume anasema mm npo singo ujue kuna k2

You Might Also Like

0 comments: