Imebaki leo na kesho tu mchakato wa kupiga kura ufungwe
Imebaki leo na kesho tu mchakato wa kupiga kura ufungwe. Bado unaweza kumwezesha MARYAM na kipindi cha Hatua tatu kuibuka mshindi kwa kuendelea kupiga kura yako kwa wingi, andika TZW1 MARYAM kwenda 15678 na TZW2 HATUA TATU kwenda 15678 au piga kura online www.tuzozetu.com/voteSapoti yako inahitajika ili kufanikisha ushindi. #TuzoZaWatu#VoteForMaryam #VoteForHatuaTatu

0 comments: