Kwa wale wenye matatizo na neno "ME TOO" someni hapa haraka

09:43:00 Unknown 0 Comments

Mwanamke mmoja alienda kwa daktari. Alitafuta mtoto kwa miaka 10 bila mafanikio.

Daktari: Majibu yanaonyesha huu mjamzito.
Mwanamke: Ashukuliwe mungu loh!

Daktari akatoa story fupi kidogo.

Daktari: Nakumbuka nilikuwa na kuku wangu mda mrefu hakutaga, nikabadilisha jogoo akaanza kutaga.

Mwanamke kuchangia stori akajibu ''me too.

You Might Also Like

0 comments: