Je mama huyu ni halali afungwe au aachiwe huru kwa kusababisha vifo???

13:30:00 Unknown 0 Comments

Dada mmoja baada ya kukimbiwa na mme wake na kuachwa akiwa na mzigo wa kuwahudumia watoto watatu alioachiwa nao aliamua kutafuta kazi.

Akahangaika kuwasaidia watoto wapate matunzo bora na kuanza kufanya kazi za kipato cha chini zisizo na ujira mzuri na kuongeza nguvu kutafuta kazi nzuri.

Baada ya kutafuta kazi kwa muda mrefu hatimaye akaaitwa kwenye usaili mmoja ambao alikuwa na uhakika wa kuipata kazi hiyo.

Akiwa katika hali ya mshangao asijue ni nini cha kukifanya kwa kuwa alikuwa na watoto wadogo na hana msaidizi akaona ni bora aende nao na kuwaacha wakiwa kwenye gari naye kwenda kwenye usaili.

Wakati yupo kwenye intavyuu akasahau kufungua vioo na watoto wote wakafa kwa kukosa hewa mle ndani.

Je mama huyu ni halali afungwe au aachiwe huru kwa kusababisha vifo???

Comment mtazamo wako HAPA

You Might Also Like

0 comments: