Jinsi ya kumwambia Mwanaume Zipu iko wazi

09:33:00 Unknown 0 Comments

7.eeeh bwana makame, tango limeikimbia kachumbari!

6.Makame anahitaji kurudi mnarani akacheki kengele zake

5.Mangi kaondoka mjengoni

4.Vespa haijaingia nzima nzima gereji, imefungiwa nje etiii

3.Mgeni anayefuata hahitaji kutambulishwa

2.hali si shwaari ikulu!

1.I always knew you were crazy but I can see your nuts!

You Might Also Like

0 comments: