Kama wewe ndio mme hapa ungefanyaje?

10:44:00 Unknown 0 Comments



Jamaa akiwa ofisini kapigiwa simu na mke wake kuwa mama mkwe wake kaja.
Alipofika wakawa wamekaa wanaongea mama mkwe akasema kaja alikuwa anaomba fedha kwa ajili ya kilimo na jamaaa akampa 100,000 na kudai hali sasa ni mbaya hivyo mpaka apate nyingine atamtutumia.
Jamaa kaingia chooni na alivyokuwa kule akachukua fedha kwenye waleti 1,000,000 na kuiweka mfukoni ili ampe mkewe amwekee asije zitumia vibaya usiku ule maana alikuwa anatarajia kutoka na wakati anatoka kule chooni umeme ukakata.
sasa akiwa anaondoka nyumbani aende akapate moja baridi moja moto akatoa zile hela na kumshikisha mama mkwe mkononi akidhani anampa mkewe amwekee kisirisiri, kumbe mke katoka nje.
Usiku wakati jamaa anarudi mke akamwambia kumbe umemwongezea mama 1,000,000? kafurahi sana sana yaani.
Kama wewe ndio yule mme ungefanyaje?

You Might Also Like

0 comments: