Mambo 7 ambayo watu wenye mitazamo hafifu watakufanyia.....

16:38:00 Unknown 0 Comments


1. Watakuharibia thamani yako;
2. Wataiharibu taswira yako machoni pa jamii
3. Watakufanya uonekane kichaa!
4. Wataziharibu ndoto zako!
5. Wataugeuza msimamo wako!
6. Watakukatisha tamaa na kukupa hofu ya mafanikio
7. Hawataamini mawazo yako.
Kaa nao mbali watu wenye mitizamo hafifu na ukiweza waogope zaidi ya UKOMA!

You Might Also Like

0 comments: