Kabla hujaingiwa na pepo la kuupenda na kuuamini mtandao wowote soma haya

16:50:00 Unknown 0 Comments


1. Kamwe hakuna hela ya bure hapa mtandaoni
2. Hakuna mtu atakaye ipenda picha yako na kukupa fedha wewe ili uanzishe biashara au kuitumia
3. Hakuna mapenzi ya dhati yatakayo patikana mtandaoni labda mnafahamiana na wengine watakutumia tu kama condom
4. Kumbuka kila mtu analengo kuu la kuwepo hapa
5. Amini sio kila mtu unayewasiliana yupo kama unavyofikiria
6. Kuwa makini na watu au mtu anayetaka uonane naye wengi wamedhurika
7. Hakuna uaminifu wa kupitiliza hapa mtandaoni
8. Huna ulazima wa kuweka kila habari zako hapa, unaweza ukawa unajidhalilisha
9. Kuwa makini na siri zako na kutoshirikisha watu
10. Jitahidi kujifunza kwa kila kosa la mwenzako
Laziada: Kumbuka matapeli ni wengi kuliko unavyofikiria

You Might Also Like

0 comments: