tukio la Suarez, limegeuzwa fursa ya kibiashara, baada ya jamaa mmoja kubuni kifungulio cha vizibo vya chupa "opener", kikiwa katika mfumo wa kijisanamu kidogo cha mchezaji huyo

14:54:00 Unknown 0 Comments



KWELI UJAZO WA GLASI UNATEGEMEA WAPI UMESIMAMA WAKATI WA KUANGALIA KILICHOMO. 

wakati dunia ikiwa ingalo ikijadili tukio la mwanasoka Luis Suarez, kung'ata mtu kwenye michuano inayoendelea ya kombe la dunia, wengine wakijiuliza tatizo gani analo, wengine wakijadili adhabu yake nk, hali iko tofauti kabisa nchi China. 

Katika taifa hilo ambalo linaelezwa kuwa litaongoza kwa uchumi duniani siku za karibuni, tukio la Suarez, limegeuzwa fursa ya kibiashara, baada ya jamaa mmoja kubuni kifungulio cha vizibo vya chupa "opener", kikiwa katika mfumo wa kijisanamu kidogo cha mchezaji huyo. 

NAAMINI HAWA JAMAA WATAZIBA PENGO LA WADHAMINI WANAOMKIMBIA JAMAA, KAMA AKIKAA NAO SAWA..... chezea mchina wewe.


Habari hii imeandikwa na Rama Msangi

You Might Also Like

0 comments: