unachotakiwa kufanya kila siku ya maisha yako on your mind

07:00:00 Unknown 0 Comments



1: JIAMIN kwakuwa na NIA ya unachokitafuta 

2: UVUMILIVU kwa kila tatizo litakalokukuta katika maisha yako

3: kuwa MUAMINIFU kwa mpenzi unae mpenda na yeye ana kupenda na kwa kila mtu ambao ata hamjuani

4:USKATE TAMAA iwapo ujafanikiwa kwa kile ulicho kiomba kwa mungu

5: kuwa na MALENGO katika kipato chako usitumie pesa vibaya kwakuwa kesho unaipata nyingine 

6:usi muhukumu binadamu mwenzako kwa kumfikilia,ni vibaya kwakila mtu kumuukumu binadamu mwenzake kwa kutumia mawazo

7: chunguza utakalo ambiwa kabla hujachukuwa hatua 

8: EPUKA marafiki wanaopenda starehe 

9: JUA kupata na kuna kukosa usimlaumu mungu eti akupendi kwa hali uliyo nayo tofauti na wenzako sikia inuka fanya kazi ata ya kubeba mkaa na kama auna juudi yoyote katika maisha haya utatesekaa na kama auna helimu utanyea debe sikia ata yule unae mtegemea moyoni mwake anaemia ila tu anashindwa wewe kukwambia kwasababu ya wewe ni binadamu na sio fisi na matatizo ya kila siku ndio yatakayo kupa akili ya kutafuta na starehe za kila siku zinaleta hasara. 

10: kama unapenda starehe kila muda umepoteza mwelekeo

You Might Also Like

0 comments: