BONGO BWANA

15:31:00 Unknown 0 Comments



BONGO BWANA
Zamani mtu akifeli kidato cha nne au sita moja kwa moja alienda jeshini au kujiunga na vyuo vya uali.
Sasa hivi karibuni nimeona jeshini na ualimu nako wanataka watu walio na ufaulu mzuri.
Sasa nikajiuliza hili kundi la wanaofeli linaenda wapi?
JIBU nimepata leo.
Kumekuwa na ongezeko kubwa na waandishi wa habari ambao hawajielewi nafiki ndio matokeo ya hilo kundi
Samahani ni mtazamo tu ila kama umeumia basi jua ni lako
LikeLike ·  · 

You Might Also Like

0 comments: