Jifunze kwa nini ndoa za baadhi ya mastaa hudumu zaidi

Mwigizaji mahiri kutoka nchini Nigeria, Omotola Jalade Ekeinde, amesema kuwa haamini katika usawa wa jinsia hasa katika mahusiano ya kimapenzi ama ndoa, huku akisisitiza kuwa, Mungu ameumba binadamu na kutofautisha mwanaume na mwanamke na hivyo ni ngumu kuweka usawa kati yao.
Omotola amesema haya wakati akizungumzia siri ya kudumu kwa ndoa yake kwa miaka 18 sasa, ambapo amesema kuwa, katika kila taasisi ambayo imeundwa vizuri, ni lazima kuwe na kiongozi mmoja wa juu vilevile kuwepo na msaidizi wake na kwa namna hiyo mambo huweza kuendeshwa kwa kunyooka.
Omotola amesema kuwa, wanandoa wengi huwa wanagonga mwamba kutokana na mke pamoja na mume kugombania kuwa na sauti ya mwisho katika kila kinachoendelea katika familia kitu ambacho si
sawa.
sawa.
Sasa wewe subiria kupikiwa na kufuliwa uone talaka zake... mie sipo

0 comments: