Duuh!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hii wiki sijui itaishaje... Maana ishaanza kwa sms za mikosi

13:46:00 Unknown 0 Comments



Yaani asubuhi hii imekuja meseji kimakosa inasema " Baby am 2 weeks pregnant for you" 

Nikaitupa simu chini kwa mshangao... sekunde chache kapiga binti na kusema sorry hiyo sio sms yako.....

Yaani bado miguu haina nguvu kabisa

You Might Also Like

0 comments: