hakuna tatizo mimi nimekusamehe na kuanzia leo sintokojolea tena kwenye supu unayokunywaga.

11:31:00 Unknown 0 Comments

Kuna jamaa mmoja likuwa akimnyima raha mchina mmoja maeneo ya Kariakoo,jamaa kila akifika kwenye hotel hiyo ya mchina huwa anamuongelea ovyo tu mvimba macho huyo.

Jamaa: nyie wachina wote kavu tu hamna mpango wowote,angalia mlivyojazana hapa kwetu mnafanya mpaka kazi za ufagizi halafu sisi tukafanya kazi wapi? nendeni kwenu bwana mimi siwapendi hata kidogo na inawezekana wewe ukawa ni mpelelezi umekuja hapa kutupeleleza ili muichukue nchi yetu,washamba wakubwa nyie angalia kwanza macho kama wavunja kokoto na matusi mengine mengi . 

Basi ikapita kama miezi miwili jamaa kila akienda kwenye ile hotel ya mchina huwa lazima amporomoshee matusi,lakini kuna siku yule jamaa katika tembeatembea yake akasikia neno la Mungu(dawa) lililomuingia sawasawa akaamua kwenda kumuomba mchina msamaha.

Jamaa:mchina nakuomba sana unisamehe kwa matusi yote niliyokuwa nakutukana bila kisa,mimi ni binadamu sijakamilika na nadhani umeyaona mapungufu yangu,nakuomba sana unisamehe na yale yote niliyoyafanya sintorudia tena.


Mchina:hakuna tatizo mimi nimekusamehe na kuanzia leo sintokojolea tena kwenye supu unayokunywaga.

You Might Also Like

0 comments: