Hasara za kuchelewa Kuoa/Kuolewa.
Namaanisha Mdada awe na zaidi ya miaka 32
na kwa Mwanaume miaka 40
Hasara zake ni hizi hapa
1. Kwa Wadada:
Menopause now starts earlier. Sifahamu hii hali
ni sababu za kimazingira ama nini. Mdada
ambaye amechelewa kuolewa huwa ana panic
na anakuwa na uwoga wa kupata watoto. Na
kitaalamu huwa wana delay kufanikiwa kupata
mimba tofauti na wasichana wenye umri mdogo.
Mdada mwenye umri zaidi ya miaka 35 also
miscarry easily na huwa wanapata tabu
sana
pindi wakiwa wanazaa.
Pia
kama
mdada aja olewa mapema, wanakuwa waoga na
awapo makini kumchagua mwanaume aliye
sahihi (Mr Right) badala yake wengi wanaanguka
katika watu siyo sahihi (Mr Available). Wanakuwa
wanafanya wrong choice na ndoa zinakuwa
failed.
Pindi mke akiwa ameolewe akileta mawazo yake
kwa mume, mume anakuwa na wasiwasi labda
anajihisi huyo mwanamke (Mke) anamuona as if
yeye ni Gold diggers and opportunists hasa
akiwa anauwezo wa kutosha.
Vizuri kuolewa mapema na kukuwa na
hilo
pendo na mtu ambaye mlianza wote kusaka
maisha kuliko kumkuta mtu ambaye tayari
anamaisha yake mazuri. Hivyo sasa thamani ya
mke katika ushauri aipewi nafasi kubwa na
ndipo mitikisiko ya ndoa uanza.
2.Kwa wanaume:
Wewe mwanaume wa Kitanzania penda au
usipende, ukweli ni kwamba mbegu za kiume
pia zimekuwa zimesha pungua (uwezo wa
kuzalisha) kutokana na umri. Unanza kulalamikia
vyakula na aina ya maisha. Mwanaume pia
anaanza kupata uwoga wa kupata watoto na
kuanza kujisikia kupata watoto nje ya ndoa.
Kumpata mwanamke wa maisha yako inakuwa
ngumu, you’re nobody hata ukimwambia mdada
unampenda ngumu kukubali, akikubali hapo
itakuwa kavutika na pesa zako tu.
Kama
utakuwa njema mfukoni, wadada watapigania
kupata your attention, making the selection of
wife material very difficult.
Kuoa katika umri mkubwa ni kwamba utaweza
kwenda sambamba na watoto wako because of
generation gap. Wewe utakuwa analogue watoto
wako watakuwa digital.
Kuna uwezekano wa kumwacha mke wako akiwa
mjane, wewe kutangulia mbeleya haki. Ananza
kulipa school fees kwa pesa za pension.
Wapendwa wana MMU, mnakubaliana na mimi?
Kama
unakubaliana na mimi ongeza madhara mengine
ya kuchelewa kuoa/kuolewa
Aminia!
0 comments: