HII NDIO LUGHA YA MZAZI KWA MWANAE ALIEFAULU KIDATO CHA SITA

17:00:00 Unknown 0 Comments



SAA 6AM


BABA;Baba,baba, unaamka sasa hivi au unalala lala kidogo
MTOTO;Hapana baba nimechoka ntaamka saa 5 jana nilichelewa kulala nilikua naangalia Merlin


BABA;Haya baba basi kuna elfu 30 nimemuachia mamaako kama utajiskia kutoka utaitumia kama nauli 


MTOTO;Baba si uniachie zile funguo za rav4!!


BABA;Haina tatizo utaenda kuchukua pale chumbani kwangu usipoziona mwambie mamaako akupe,halafu sidhani kama hiyo pesa itakutosha kwa ajili ya mafuta upitie pale ofisini nikuongeze pesa.

SASA HII NDIO LUGHA KWA WALE WA 4 NA 0



SAA 6AM

BABA:We nguruwe umelala tuu mpaka saa hizi ivi unajua bei ya hilo godoro,kazi kupata 
maziro tuu kwa kulala lala lione,hebu amka unioshee gari niende kazini 

You Might Also Like

0 comments: